2 Timothy 2:3-4

3Vumilia taabu pamoja nasi kama askari mwema wa Al-Masihi Isa. 4Hakuna askari yeyote ambaye akiwa vitani hujishughulisha na mambo ya kawaida ya maisha haya kwa sababu nia yake ni kumpendeza yule aliyemwandika awe askari.
Copyright information for SwhKC